Sometimes unawaza unaona bora usioe..ila upweke unakuwa kikwazo, na maadili, watoto wazaliwe katika ndoa kama wewe ulivyozaliwa na kulelewa kwenye familia moja yenye baba mmoja na mama mmoja!
A big challenge..Lord help us!

Kamwe usijenge dhana kwamba kwa kuwa mwenzako anatoka nje ya ndoa na wewe utoke...huko ni kujipalia makaa kichwani. Mungu alimpa kila mtu roho yake na siku ya hukumu kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake mwenyewe. Mwenzako akichepuka piga magoti endelea kumuita Mungu...hakika ataitika
Usipooa umeavoid majanga ya mchepuo wa mke what about majanga utakayopata wewe ukiwa unachepua? unless uamue kuungana na baba paroko once and for all
Mi nikiwaza hapo sitamani hata kuolewa aiseee....
"Even a snail will eventually reach its destination" sembuse weye mkuu...........Mungu atakua mwema hata kwa hiloUparoko siuwezi kabisa aisee...And as I said, it's just a big challenge kuliwaza hilo kwa sasa but am sure one day I will overcome that..when I find the right one...!Na Mungu atusaidie sote.:flypig:
Chance hiyo ni kubwa kwa vile mazoea hujenga tabiakwahiyo ambaye hajacheza hizo "mechi za kirafiki" ndio atatulia barabara kuu???
Sometimes unawaza unaona bora usioe..ila upweke unakuwa kikwazo, na maadili, watoto wazaliwe katika ndoa kama wewe ulivyozaliwa na kulelewa kwenye familia moja yenye baba mmoja na mama mmoja!
A big challenge..Lord help us!
funguo inafungua kufuli zaidi ya moja na kufuli kufunguliwa na funguo zaidi ya moja.... kivumbi...heheheeee funguo inachomeka kwenye kufuli na inafungua kuchwii
Mkuu kuna wengine tumetokea kwenye single parent family .
Kamwe usijenge dhana kwamba kwa kuwa mwenzako anatoka nje ya ndoa na wewe utoke...huko ni kujipalia makaa kichwani. Mungu alimpa kila mtu roho yake na siku ya hukumu kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake mwenyewe. Mwenzako akichepuka piga magoti endelea kumuita Mungu...hakika ataitika
kunamchezo salama????
na mchepuko au na mkeo?
sina uhakika kama nimepata jibu mkuuMchezo huu mkuu inabidi ucheze salama na anayestahili...
sina uhakika kama nimepata jibu mkuu
usalama wa huu mchezo ni upi kaka maana hata juzi gazeti la mwananchi limeeleza mambo kedekede yanayoweza haribu kichwa tokana na huu (mchezo) bila kujali kama unachezwa baina ya wanaostahiliana ama la