Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Habari zenu wanandoa wote wa MMU,
Michepuko katika ndoa ni noma, kaa katika mstari wa ndoa yako, baadhi ya michepuko yenyewe inatokea hivi;
Funguo ambae ni mume wa Kufuli yuko nyumbani kwake na mkewe, funguo akiwa anaoga bafuni kufuli anamuaga mumewe kuwa anatoka na gari maramoja kuwahi sokoni na atarudi muda si mrefu. Mara kufuli anarudi ndani na kumwambia mumewe gari imekataa kuwaka naomba namba ya simu ya fundi gari nimpigie aje atengeneze maramoja niwahi sokoni. Mumewe huku akiwa bafuni anamjibu mkewe, nakuja namba ziko kwenye simu (bila mkewe kusikia vizuri anajiambia aah simu yake si hii hapa wacha niangalie namba nimpigie fundi aje kuliko amnsubiri hadi mumewe atoke bafuni) Kiroho safi anaenda kwenye inbox ya simu ya mumewe na kuanza kutafuta fundi, anaanza kusoma..... fundi ujenzi, fundi mashine, fundi nguo, fundi gari.. aahaaa hii hapa (kufuli anajiambia mwenyewe na kupiga simu) Simu inaita na inapokelewa na mschana anayeanza kuongea kimahaba kwa sauti iliyolegea (hallo mpenz, mambo nafurahi umenipigia nasikia raha sana hasa kwa kuninunulia simu ya touch screen na tv flat screen, nakupenda sana mpenz) Kufuli akashindwa kuvumilia kusikiliza na kuhamaki wewe ndo fundi gari?? wewe ni nani? looh!! yule mschana nae anahamaki na kupayuka mama yangu kisha anakata simu. Zogo linalozuka baada ya hapo wanalimaliza wanandoa wenyewe.
Kufuli jumapili hii kamuaga mumewe anaenda kwenye kichen party kisha huyo anaishia anakokujua, kufika mida ya saa tatu usiku mumewe anaamua kumpigia mkewe na simu inaita tuu haipokelewi, mara anaamua kumpigia shosti wa mkewe ambae alimwambia wataenda wote kwenye kichen party. Shosti ake Kufuli anapokea simu (akiwa nyumbani kwake) anapokea simu na kumsalimia shemeji yake vizuri kisha anaulizwa vipi huko kwenye kichen party mnatoka saa ngapi? maana saa tatu saa hizi na nampigia kufuli simu hapokei mwambie arudi si lazima akae hadi mwisho. Shosti mtu bila kufikiri anauliza kichen party? kichen party gani? Anapopata maelezo kutoka kwe shemejie (akili inamjia sasa bi shosti aue soo la kufuli kwa mumewe na kujibalaguza) aaah shemeji ni kweli tuko hapa kwenye kichan party ya rafiki yetu eeheheeee huku anakigugumizi na kujichekesha, mara inasikika sauti ya mtoto wa bishosti akiita mama nataka kulala chumbani kwako leo...... funguo anaghafirika na kujua tayari kaibiwa huku na huku nae bishosti anakata simu na kuacha zogo limalizwe na wanandoa wenyewe.
Japo michepuko siku hizi iko mingi sana, ya aina nyingi nyingi na ni hatari kwa ndoa, mwanadoa tulizana na mkeo/mumeo, maranyingi mmoja anapochepuka hutumia kinga kwa mara4 hadi 5 za mwanzo baadae hujenga uaminifu na kuanza kuchubwika kavu kavu ambapo ndo maambukizi hutokea, JILINDE, MLINDE NA MWENZIO ACHA MICHEPUKO.
Kama ulishawahi kukutana na habari hii basi mtaarifu ambae hajaijua na ndo mara ya kwanza pata habari na chukua tahadhari.
Kama unamchepuko uache maramoja na kama huna usijaribu kuchepuka.