youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
- Thread starter
- #21
Jua ni Kali xana saa sita mchana yaan mtu unakung'uta viroba then vikianza kufanya kazi ndo unakumbuka jf nyumbu jike ww
*****, imekuingia hiyo.
Jua ni Kali xana saa sita mchana yaan mtu unakung'uta viroba then vikianza kufanya kazi ndo unakumbuka jf nyumbu jike ww
Mnajidanganya hazifiki hata kula150.
Kula zipo ccm,kura ukawa 17ml.
wakati wa ukombozi ni sasa
...ilikuwa kauli mbiu ya Mtikila...watch out!