Hii ndo dawa ya mademu wapiga vizinga

Hii ndo dawa ya mademu wapiga vizinga

Info Boy

Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
33
Reaction score
6
DEMU: Dia nipo Mwenge, kuna jeans nimeiona nimeipenda inauzwa 45,000 tu, ningenunua sema wallet mesahau, please nirushie kwenye tigopesa darling
JAMAA: *150*01#... TigoPesa: Umepokea Tsh 600 toka kwa ...
DEMU : Dia mbona 600 tu?
JAMAA : Nauli, 400 kwenda home kuchukua wallet, 400 kurudi Mwenge kuinunua. Vipi ni nyeusi? Maana dia ukiwa kwenye nyeusi unatokaga bomba sana, cant wait to see u#kisses!!
Pata vichekesho zaidi hapa SWAHILI SMS
 
VhdddDishodgddgw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom