Hii ndo bongo kipanya ktk ubora wake

Teh teh.....mpaka kuja kushtuka...hakibaki kitu.
 
Na saivi mtu akinilipua anajilipua kweli kweli maana huwezi jua kesho unaamkaje
 
Mafisadi yalipora nchi magufuli tunakupongeza kwa kuipenda nchi yako

Bado tunakuamini
 
Kwa mfano utamzuia vipi mtoto wa mjini wakati we mshamba.. Umeona zile apartments za mzee baba zile za Chato utajua hela inapotelea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…