Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,714
- 19,299
Wewe inaonekana ni mwanamke mchafu sana.... Yaani ndugu yangu naamini hawezi kufanya huu upimbi unao utetea hapa, hii inaonyesha wewe ni mchafu kiwango wa kimataifa.. Stupid cretureAngekua ni Baba yako huyo au ndugu yako ungempiga picha na kumuanika hapa? What if wewe ndo ungekua huyu konda halafu mtu akupige picha na kukuanika mtandaoni ungejiskiaje??
Kapewa lift upande aliokaa umeuona?Mtu mwenye gari hawezi kupata muda wa kuchungulia wenzie,huyu atakuwa kapewa lift
Poa ila c poa kumdhalilisha mwanaume mwenzako kwanza kumpiga mtu picha bila ridhaa yake ni makosa mkuuhuo ni mtazamo wako,hata siko huko
Mkuu unaelewa ulichokiandika? umesoma Jina la alieleta mada au umekurupuka tu?Poa ila c poa kumdhalilisha mwanaume mwenzako kwanza kumpiga mtu picha bila ridhaa yake ni makosa mkuu
Tatizo lipo kwa mkojoa hovyoDah,mtoto wa kiume unachungulia mashine ya mwamba mwenzio,kuna tatzo hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mkojoa barabarani ana makosaPoa ila c poa kumdhalilisha mwanaume mwenzako kwanza kumpiga mtu picha bila ridhaa yake ni makosa mkuu