Hii ndiyo TBC halisi

Predator hii hadithi inatokana na jina lako?
 
…ngoja nicopy hili bandiko, nikitoka kwenye miangaiko yangu ya kutafuta ugali(watz hatuli mikate) nikae chini nitafakari…lkn kwa ufupi tu ninaweza kuifananisha TBC na mamba amayetafuna windo lake huku machozi yakimbubujika, hapo ndio utajiuliza huyu mamba anakiurumia hicho kiumbe acho tafuna ama anafurahia utamu wa nyama?…
 
Hakuna kama tbc nchi hii wengine wasisite kuiga mfano wao.
 
Kwako SUPER PREDATOR mwandishi wa hii tamthilia ya Nyumbu na Simba, ni mhusika yupi kati ya hao TBC na ITV amehegemea katika maisha halisi ya hao wanyama?

Mkuu watu wanapenda kujua ukweli ndiyo maana wakubwa wanapenda kuangalia ITV, na kwa maana hiyo ITV inapata matangazo mengi zaidi kuliko TBC, TBC wanategemea ruzuku ya kodi zetu ndiyo maana wao hawajali sana hata kama hawapati watazamaji wengi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ukiendelea namna hi sheria ya mtandao wala haitakuja kukugusa but watu wazima tumekuelewa sana. Big up cause nimegundua siku hizi hata wafanyakazi wa TBCccm (akiwepo na mkuu wao) nao kwakua ni watu wazima wanaangaliaga super brand badala ya kwao.
 
Mkuu wenye akili zao tumekuelewa hongera sana
 

TBC ina watangazaji makini na waelewa sana ila wanalazimishwa kufuata maelekezo ya wakubwa
 
ITV superbrands milele...
TBC wanapata ruzuku za serikali lazma waoneshe utiifu ivi piga mfano wananchi tusingekua na tv kama ITV tungekua tunaongopewa tu vituko vya serikali ya ccm vina mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…