MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
Haya ndiyo Mabadiliko Lowassa, Lowassa mabadiliko!
Hii ndiyo safu ya Tanzania mpya yenye fikra mpya!
Kuna wengine wamekuwa viongozi katika nafasi za juu kabisa za utendaji kabla hata nchi haijapata uhuru!
Hii ndiyo safu itakayowakimbiza Watanzania kwa speed ya km 120!
Ninashindwa kuelewa kama ninaota au ninaishi kwenye ndoto!
There are no desperate situations, there are only desperate people-Heinz Guderian
Haya ndiyo mabadiliko tunayoyataka!
Tanzania iko mbioni kuingia kwenye Guinness World Records!
c
Mbowe,Lisu,Nnyika,Mdee,Msigwa,Wenje,Kafulila,Ngurumo at al ndo viunganishi kufikia 120kmh
kwa hiyo hawa wote pamoja na pamabano yao yote lakini watalazimika luwa nyuma ya hao....kweli lowasa mabadiliko
Mbowe,Lisu,Nnyika,Mdee,Msigwa,Wenje,Kafulila,Ngurumo at al ndo viunganishi kufikia 120kmh
Una maana gani?Maji ya kifuu chungu kaona bahari. Tanzania ina watu karibu ml 40
Haya ndiyo Mabadiliko Lowassa, Lowassa mabadiliko!
Hii ndiyo safu ya Tanzania mpya yenye fikra mpya!
Kuna wengine wamekuwa viongozi katika nafasi za juu kabisa za utendaji kabla hata nchi haijapata uhuru!
Hii ndiyo safu itakayowakimbiza Watanzania kwa speed ya km 120!
Ninashindwa kuelewa kama ninaota au ninaishi kwenye ndoto!
There are no desperate situations, there are only desperate people-Heinz Guderian
Haya ndiyo mabadiliko tunayoyataka!
Tanzania iko mbioni kuingia kwenye Guinness World Records!
c
Hakuna niliposema kama siyo wazee nisingezaliwa!ha haha. Kijana wacha kiburi! Ingekuwa kama si wazee wewe ungelizaliwa? Hujui ya kwamba uzee ni busara?
Hawa watakuwa kama nani katika serikali ya Lowassa?Mbowe,Lisu,Nnyika,Mdee,Msigwa,Wenje,Kafulila,Ngurumo at al ndo viunganishi kufikia 120kmh
Hayo ndiyo Mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko!kwa hiyo hawa wote pamoja na pamabano yao yote lakini watalazimika luwa nyuma ya hao....kweli lowasa mabadiliko