KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
Issue kubwa siyo dini, anatoka wapi au kabila, issue ni anasifa za kuwatumikia Watanzania? Nadhani bado tunaamini CC itakuja na mtu bora zaidi ya hao.
Amejichonga hadi akawa Mchungaji?"AGUSTINO RAMADHANI"mkrsto wa kuchonga!!!!
Na wewe ni mkristo wa kivipi? "Usihukumu ili usije ukahukumiwa." uko tayari kuhukumiwa kwa kipimo hichohicho unachomhukumia mwenzio?"AGUSTINO RAMADHANI"mkrsto wa kuchonga!!!!
ofcoz halafu pia kumbuka ni kama zamu ya mzanzibar ivi na uhu pia ni ujinga. Ivi zamu yetu wabara kule zanzibar pia ni lini vile??
Rejea urais wa Mkapa. Alishika nafasi gani katika chama kabla ya kuwa Rais wa nchi?
Augusto Ramadhan,, Je amewahi kushika nafasi yoyote ya uongozi ndani ya Chama cha CCM? Maana ccm itapitisha mtu anaejua chama hicho ili awe mwenyeketi wa chama na siyo kuwa rais pekee.
Ramadhani lazima apite, wengine waendelee kuchuana
Rejea urais wa Mkapa. Alishika nafasi gani katika chama kabla ya kuwa Rais wa nchi?
Mkapa alikuwa Mbunge !! Na ubunge ni kazi ya siasa nusu ya Urais !! Mwambie Jaji Arudi Kanisani kupiga Kinanda
Mkapa ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Makerere.Nafasi alizoshikilia zamani ni pamoja na kuwa afisa wa utawala huko Dodoma na Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu. Yeye pia aliongoza ujumbe wa Tanzania huko Marekani na alikuwa Waziri waMambo ya Nje kutoka 1977 hadi 1980 na kutoka 1984 hadi 1990. Nipe historia ya A. Ramadhani ndani ya ccm
Mkapa alikuwa Mbunge !! Na ubunge ni kazi ya siasa nusu ya Urais !! Mwambie Jaji Arudi Kanisani kupiga Kinanda
Labda arudi Kanisani kupiga kinanda na kutoa komunio !! Huwezi kutumika mabwana wa wili , Kamwe ! na Mola atamdhalilisha kwa unafiki wake