Le Grand Alexei
Senior Member
- Nov 9, 2011
- 116
- 83
Issue kubwa siyo dini, anatoka wapi au kabila, issue ni anasifa za kuwatumikia Watanzania? Nadhani bado tunaamini CC itakuja na mtu bora zaidi ya hao.Kwenye katiba au kanuni ambazo si rasmi:
Jaji Ramadhani anakidhi vigezo viwili - Mkristo na Uzanzibar
Dk. Bilal ni Mzanzibar lakini si mkristo.
Pinda ni Mkisto lakini si Mzanzibar
Migiro ni mwanamke lakini si mkristo wala Mzanzibar
Kigwangalla ni kijana lakini si Mzanzibar wala mkristo
Kwa vigezo hivyo ni dhahiri Jaji Ramadhani ana nafasi kubwa zaidi lakini mawazo ya wapiga kura walioathirika na "ushawishi" wa mafisadi kazi itakuwa pevu.
Issue kubwa siyo dini, anatoka wapi au kabila, issue ni anasifa za kuwatumikia Watanzania? Nadhani bado tunaamini CC itakuja na mtu bora zaidi ya hao.
Kwenye katiba au kanuni ambazo si rasmi:
Jaji Ramadhani anakidhi vigezo viwili - Mkristo na Uzanzibar
Dk. Bilal ni Mzanzibar lakini si mkristo.
Pinda ni Mkisto lakini si Mzanzibar
Migiro ni mwanamke lakini si mkristo wala Mzanzibar
Kigwangalla ni kijana lakini si Mzanzibar wala mkristo
Kwa vigezo hivyo ni dhahiri Jaji Ramadhani ana nafasi kubwa zaidi lakini mawazo ya wapiga kura walioathirika na "ushawishi" wa mafisadi kazi itakuwa pevu.
Augusto Ramadhan,, Je amewahi kushika nafasi yoyote ya uongozi ndani ya Chama cha CCM? Maana ccm itapitisha mtu anaejua chama hicho ili awe mwenyeketi wa chama na siyo kuwa rais pekee.
1. Jaji Agustino Ramadhani - wasifu wake wa uadilifu na utumishi jeshini na serikalini ni hazina kubwa, pia sababu za kisiasa za kuwa mzanzibari na 'mkristo' ukizingatia wazanzibari hawajatoa Rais kwa mihula miwili sasa na hii ni 'zamu' ya wakristo {japokuwa haijaandikwa popote lakini ndiyo matarajio kwa kudumisha mshkamano}
2. Dk Bilal - ni makamu wa Rais hivyo itifaki itambeba
3. Dk Asha Migiro - atabebwa na wasifu na pia 'jinsia'. huyu ni msindikizaji wa kike ambaye anawashinda wasifu wanawake wenzake wote waliojitokeza. Balozi amina salum ali anapotezwa kwa nafasi na hao wazanzibari wenzake wawili hapo juu.
4. Pinda - ni waziri mkuu aliyeko madarakani na hivyo anabebwa na itifaki
5. Dk Kigwangalla - ni mgombea mwingine msindikizaji kijana atakayeingia kuwakilisha kundi la vijana. atateuliwa kwa kuwa ni msindikizaji anayeweza kukubali kirahisi kumsaidia jaji agostino ramadhani kuliko wengine wanaoweza kutitokeza kupambana.
hii list ndiyo itakuwa dawa ya kushughulika na lowasa, maana itatengenezwa sababu rahisi kuwa makada sita hawakutiii adhabu waliyopewa na hivyo wanazuiliwa kusonga mbele wote sita. ccm ikifanya hivi itakuwa imeondokana na makundi hasimu ya membe, sitta na lowasa maana wote watakuwa nje.
Rejea urais wa Mkapa. Alishika nafasi gani katika chama kabla ya kuwa Rais wa nchi?
Mtu awe Rais halafu akose sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chama? Kwani kuna nini cha ajabu kwenye Chama???
zamu ya wakristo kushika nchi
liwazo la roho,
jifariji kijana!!!