Nilitamani hata ange nunua huo mchicha akawapa ombaomba haop sokoni angefanya jambo la busara.
1: Kumuungisha huyo Mama,na
2: Kuwasaidia ombaomba
Hivi angekuwa mama yake mzazi angemfanyia hayo anayoyafanya kwa huyo Mama?
Inasikitisha saana aiseeNilitamani hata ange nunua huo mchicha akawapa ombaomba haop sokoni angefanya jambo la busara.
1: Kumuungisha huyo Mama,na
2: Kuwasaidia ombaomba
Hivi angekuwa mama yake mzazi angemfanyia hayo anayoyafanya kwa huyo Mama?
inawezekana sijui vizuri hebu nieleze ikoje? au sijaelewa!Hakuna aliye beza hapo wacheni mihemuko ya kiitikadi kwenye masuala ya msingi.
Watu wanalaani njia zinazotumika kuwapatia hivyo vitambulisho siyo za kiungwana
inawezekana sijui vizuri hebu nieleze ikoje? au sijaelewa!
hawa ni wapuuzi sina neno lingine la kusema wameshindwa kutoa elimu na kuwaelekeza wananchi faida wanazoweza kupata kwa hilo na wanafanya kazi kwa miemko! wangekuwa vizuri wangewaeleza wananchi umuhimu wake kwao ila wawekuwa watu wa sifa hili ni tatizo kwaoNimara ngapi tumewaona ma dc na ma rc wakiongozana na polisi kuwalazimisha wana nchi kununua hivyo vitambulisho?
Au wewe mwenzetu huyaoni hayo?
Nimara ngapi hao viongozi wamekuwa wakitoa lugha za vitisho kwa hao mnao waita wanyonge ?
hawa ni wapuuzi sina neno lingine la kusema wameshindwa kutoa elimu na kuwaelekeza wananchi faida wanazoweza kupata kwa hilo na wanafanya kazi kwa miemko! wangekuwa vizuri wangewaeleza wananchi umuhimu wake kwao ila wawekuwa watu wa sifa hili ni tatizo kwao
Mimi niko kinyume sana na mawazo yenu. Katika chaguzi zetu hapa Tanzania, CCM inavuna kura nyingi sana kutoka kwa wanawake, na hasa hawa wanawake wajasiliamali wadogo. Waacheni wavune matunda ya uaminifu wao kwa Chama. Hata wakiuziwa 100,000/kadi, sitalalamika.
Ina maana huyo jamaa anafanya kazi tra?[emoji16][emoji16]
[emoji38][emoji38][emoji38]Hapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata mafungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge View attachment 1093921
Kipindi cha miaka 5 ya JIWE tulipitishwa JANGWANI, Mchicha mtaji wake ni maji ya kumwagili, mama ananunua kwa jumla shilingi elfu mbili na kuuza kwa kupata faida ya elfu mbili, ana mume, watoto na wazazi wake wazee wanalelwa, Mwanasiasa[UVCCM] mwenye VXR la milioni 500 anamlazimisha mama maskini anunue kitambulisho ili mwaka mwengine wa fedha aletewe vx new model.Hapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata mafungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge View attachment 1093921