Mag3 Platinum Member May 31, 2008 13,269 23,205 Mar 2, 2016 #1 Mh. Peter Lijuakali, Mbunge wa Kilombero kupitia UKAWA, akitolewa ukumbini... Mh. Peter Lijuakali, akikimbizwa kama kibaka mtaani. Hiyo ndiyo serikali ya John Pombe Magufuli. Je, ina tofauti gani na ya Yoweri Museveni wa Uganda?
Mh. Peter Lijuakali, Mbunge wa Kilombero kupitia UKAWA, akitolewa ukumbini... Mh. Peter Lijuakali, akikimbizwa kama kibaka mtaani. Hiyo ndiyo serikali ya John Pombe Magufuli. Je, ina tofauti gani na ya Yoweri Museveni wa Uganda?