The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,960
- 2,942
Kama Kuna watanzania walidhani anawatania nawasihi wabadili mtazamo hii fukuzafukuza haitaisha wala kesho.
Jambo la msingi ni kafunga mkanda na kukubaliana na Hali maisha yaendelee Rais katuambia si nguvu ya soda tu Bali imechanganyika na gongo.