Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,021
Wagonjwa wa kichaa nchini wameongezeka na kufika laki nne na elfu hamsini(450,000).
Hayo alieleza jana waziri wa afya na ustawi wa jamii Dr. Seif Rashidi alipokuwa nanahutubia siku ya afya ya akili duniani, iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam
Ngojea nije niwatibu hao wagonjwa wa vichaa.........Wagonjwa wa kichaa nchini wameongezeka na kufika laki nne na elfu hamsini(450,000).
Hayo alieleza jana waziri wa afya na ustawi wa jamii Dr. Seif Rashidi alipokuwa nanahutubia siku ya afya ya akili duniani, iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam
Kuna gazeti moja la juzi liliandika kuwa Dar ndio inaongoza kuwa na machizi.
na wa jf wamaasabika...?.
wamaasabika...?.
Wilaya ya kinondoni inaongoza
Idadi kamili ya vichaa:
Research 450,000
BMK 490
Wasanii 10,000,000
Clouds FM 80
TBC 210
Jumla kuu 10,450,780