Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,075
- 63,282
- Thread starter
-
- #41
Mkuu acha siasa za kinyesi ama za chooni.
Ina maana hiyo ndio picha pekee umeona ni majibu ya elimu bure?
Labda kama wewe ni mgeni hapa nchini tuseme umetoka somalia leo.
Unajitoa ufahamu na kujivika upunguani kana kwamba wewe ni kipofu wa kuona mwonekano mwanana wa miundombinu dhabiti ya shule zetu chini ya mpango wa ellimu bure ya mh Pombe?
Kwa akili yako tone ulitarajia serikali ishughulikie elimu tu huku secta zingine zisiguswe?
Huoni aibu kulaumu mabadiliko makubwa yanayofanywa na huyu mweshimiwa ambayo yumkini hakuna serukali yeyote huko nyuma imewahi kudhubutu ndani ya muda mfupi?
Chadema acheni siasa kinyesi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu Hoja Kwa hoja. Mbowe na familia yake wanahusishwaje na elimu ya ovyo. Hata kama uko serikalini sio lazima ujitoe ufajamuSema inaitwaje na iko wapi.
Kama ya kanisa tuwaulize pesa za kuendesha hizo shule wanapeleka wapi?
Vipi Mbowe watoto zake anasomesha wapi?
Ofisi mmeshajenga au bado mpo UFIPA?
Unawashangaa kina nani sasa,shangazi mimi nazungumzia kushindwa kwa serikali kujenga miundombinu ya kutosha ya elimu ili kuweza kukidhi mahitaji ya wananchi wake ilhali uwezo huo ilikuwa nao na inao,sasa mambo ya MoU ya serikali na kanisa yametokea wapi?.Hapo ndiyo nnapowashangaa! Miaka ya kabla ya Uhuru mlijengewa mashule na kanisa. Serikali ina MoU na kanisa na pesa nyingi zinatolewa kila mwaka kupelekwa kanisani kwa ajili hiyo.
Sasa tufahamisheni, hiyo shule inayoongelewa kwenye post namba moja ni ipi?
Nimecheka sana hiyo sentensi ya mwishoYaani wewe ndo umeongea mashudu kabisa!
Sasa kama kuna Influx ya wanafunzi kwa nini wasijenge shule za kutosha?
Hivi wewe bibi ulikwenda shule kusomea ujinga?
Hapo hakuna kujali upande au chama unachoshabikia, jambo la msingi unapochangia mada au hoja jaribu kuelezea kwa kuangalia uhalisia na sii ushabiki sababu ushabiki haujengiCcm inaongoza kwa ushabiki.
kwani hiyo kodi wanayolipa ni kwa ajili ya matumizi gani? kila wakati kupitisha bakuli la kuwachangisha wananchi, uone aibu we ajuza siyo kisa unalipwa kwa kuendesha propaganda basi unalopoka tu.Wazazi huko ni wazembe. Wanashindwa kufyatua Tofari na kujijengea madarasa?
Kulalamika vitu kama hivyo na mnasema Kagera ni wasomi inaonesha jinsi shule mlivyoenda kusomea ujinga.
Hii ndiyo elimu bure, watoto kusomea chini ya mti!View attachment 1013905
My take:
(1) Hela za kununua wapinzani na kurudia chaguzi zipo
(2) Pesa za kununua ndege kwa Cash bila mkopo zipo
(3) Pesa za kugawa mtaani kama njugu pindi mfanyapo ziara sehemu mbalimbali zipo
(4) Mnasema makusanyo yameongezeka na tuna mapesa mengi sana
(5) Pesa za Bunge Live hakuna, Pesa za Press Conference Live kila siku Magogoni zipo!
Wakati Pesa zote hizo zipo!
WATOTO WA WATANZANIA MASIKINI WANASOMEA CHINI YA MTI!
Hivi vipaumbele vyenu ni nini?
Unakosea, hii wilaya ina DED na mbunge.....jiulize wanafanya nini?