Hii ndiyo Elimu bure!

Wazazi huko ni wazembe. Wanashindwa kufyatua Tofari na kujijengea madarasa?

Kulalamika vitu kama hivyo na mnasema Kagera ni wasomi inaonesha jinsi shule mlivyoenda kusomea ujinga.
Nimejikuta namchukia kila mtu mwenye sura na jina kama avatar yako
 

Vipaumbele vyetu vitatu vya mwanzo kabisa ni hivi:
1. Kumsifia jiwe
2. Kumsifia jiwe
3. Kumsifia jiwe
 
Hawa jamaa wanazingua,huku kwetu wanapita kwaya kwa kwaya kila kaya ichangie sh.10,000 ya ujenzi wa madarasa yaani maana yake kama kwenye nyumba moja mpo wapangaji kumi,kila mpangaji ni kaya moja hivyo utachangishwa laki moja
 
Kwa sababu u punguani. Hakuna zaidi.

Mnaleta hoja za kijinga mkiambiwa kweli mnachukia. Chukia mwana kuchukia kwani wee njia ukichukia utazuwia tusipite?



Nimejikuta namchukia kila mtu mwenye sura na jina kama avatar yako
 
Kwa sababu u punguani. Hakuna zaidi.

Mnaleta hoja za kijinga mkiambiwa kweli mnachukia. Chukia mwana kuchukia kwani wee njia ukichukia utazuwia tusipite?
Una akili kama tako. Akili yako na umri wako haviendani
 
Jamani eeh, wakati mwingine tujitahidi kufika maeneo husika ili kujua zaidi.

Pia, mambo hayawezi kwenda vile kila mtu anavyotaka iwe ama anavyotafsiri yeye. Yawezekana hata mpango mkakati wa utekelezaji sera ya elimu bure haujaupitia. Kaupitie kwanza ndio uje hapa.
 
Wakati mwengine huwa nawashangaa sana na hoja za kijinga namna hii!

Hivi kuwe na influx ya wanafunzi kwa kuwa kuna elimu bure halafu usipate tatizo la uhaba wa madarasa?

Miaka 50 baada ya uhuru kwa rasilimali tulizo nazo hakukutakiwa kuwe na uhaba wa madarasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 50 baada ya uhuru kwa rasilimali tulizo nazo hakukutakiwa kuwe na uhaba wa madarasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndiyo nnapowashangaa! Miaka ya kabla ya Uhuru mlijengewa mashule na kanisa. Serikali ina MoU na kanisa na pesa nyingi zinatolewa kila mwaka kupelekwa kanisani kwa ajili hiyo.

Sasa tufahamisheni, hiyo shule inayoongelewa kwenye post namba moja ni ipi?
 
Sema inaitwaje na iko wapi.

Kama ya kanisa tuwaulize pesa za kuendesha hizo shule wanapeleka wapi?

Vipi Mbowe watoto zake anasomesha wapi?

Ofisi mmeshajenga au bado mpo UFIPA?
Kwanini usiolewe na Mbowe ili umdhibiti vizuri au kumtilia sumu kwenye chakula afe.Kila atakaehoji ukweli mbowe au mpinzani au hapo hapana tatizo.badilikeni.
 
Kwanini usiolewe na Mbowe ili umdhibiti vizuri au kumtilia sumu kwenye chakula afe.Kila atakaehoji ukweli mbowe au mpinzani au hapo hapana tatizo.badilikeni.
Hivi huelewi kujibu swali?
 
Hivi huelewi kujibu swali?
Wewe kila kitu kila siku Mbowe tu.Nunueni madawati au kama kuna mtu mlimpa fungu hakukamilisha basi mshughulikieni sio kubishabisha wakati madawati hamna kweli.Wajibikeni
 
Mkuu acha siasa za kinyesi ama za chooni.

Ina maana hiyo ndio picha pekee umeona ni majibu ya elimu bure?

Labda kama wewe ni mgeni hapa nchini tuseme umetoka somalia leo.

Unajitoa ufahamu na kujivika upunguani kana kwamba wewe ni kipofu wa kuona mwonekano mwanana wa miundombinu dhabiti ya shule zetu chini ya mpango wa ellimu bure ya mh Pombe?

Kwa akili yako tone ulitarajia serikali ishughulikie elimu tu huku secta zingine zisiguswe?

Huoni aibu kulaumu mabadiliko makubwa yanayofanywa na huyu mweshimiwa ambayo yumkini hakuna serukali yeyote huko nyuma imewahi kudhubutu ndani ya muda mfupi?


Chadema acheni siasa kinyesi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…