Hii ndiyo Elimu bure!

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
17,075
Reaction score
63,282
Hii ndiyo elimu bure, watoto kusomea chini ya mti!

My take:

(1) Hela za kununua wapinzani na kurudia chaguzi zipo

(2) Pesa za kununua ndege kwa Cash bila mkopo zipo

(3) Pesa za kugawa mtaani kama njugu pindi mfanyapo ziara sehemu mbalimbali zipo

(4) Mnasema makusanyo yameongezeka na tuna mapesa mengi sana

(5) Pesa za Bunge Live hakuna, Pesa za Press Conference Live kila siku Magogoni zipo!

Wakati Pesa zote hizo zipo!
WATOTO WA WATANZANIA MASIKINI WANASOMEA CHINI YA MTI!

Hivi vipaumbele vyenu ni nini?
 
Na bado vijijini wanawapigia kura, kwa hiyo vipaumbele vyao ni kuhakikisha wanazalisha vilaza wengi wa kutosha
 
Hii ni aibu isiyotustahili kwakweli,ni bora hata tukaacha majigambo kwenye majukwaa!mwisho wa Siku tunajichoresha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya huyu jamaa inafeli kwa kasi ya kutisha!
Kakalia kuhusudu VITU badala ya mahitaji ya MSINGI ya WATU

Anataka kupaa wakati nchi yake ndiyo kwanza inatambaa!!
 
Wakati mwengine huwa nawashangaa sana na hoja za kijinga namna hii!

Hivi kuwe na influx ya wanafunzi kwa kuwa kuna elimu bure halafu usipate tatizo la uhaba wa madarasa?
 
Na walimu ndo kabisaaa wamekata tamaa Kwa kudhulumiwa haki zao mbaya zaidi mishahara hukuna ongezeko

Sent using Jamii Forums mobile app

Siyo walimu tu, Tija imeshuka makazini kwa sababu hawapewi stahiki zao kama nyongeza za kila mwaka za mishahara, kupandishwa madaraja, kulipwa malimbikizo yao etc!

Wanasema eti kuna nidhamu makazini, Kule Makazini kuna UKIMYA!, watu hawahoji, Hawajisumbui kifikra kwa sababu badala ya kuheshimiwa kama Partners wa Taasisi wanachukuliwa kama Tarishi tu waliopewa hisani ya kuwa pale!

Tija makazini haiwezi kuwepo ktk hali kama hii!!
 
Wakati mwengine huwa nawashangaa sana na hoja za kijinga namna hii!

Hivi kuwe na influx ya wanafunzi kwa kuwa kuna elimu bure halafu usipate tatizo la uhaba wa madarasa?

Yaani wewe ndo umeongea mashudu kabisa!

Sasa kama kuna Influx ya wanafunzi kwa nini wasijenge shule za kutosha?

Hivi wewe bibi ulikwenda shule kusomea ujinga?
 
Yaani wewe ndo umeongea mashudu kabisa!

Sasa kama kuna Influx ya wanafunzi kwa nini wasijenge shule za kutosha?

Hivi wewe bibi ulikwenda shule kusomea ujinga?
Unaongelea shule ilyoanzishwa mwaka 1946 halafu huitaji jina? Au ni ya kanisa na pesa za MoU mnapewa? Semeni shule ilipoanzishwa ilikuwa ya wanafunzi wangapi na sasa toka ilipotangazwa elimu bora ina wanafunzi wangapi? Ipo wapi?

Mnaleta habari za kijinga kijinga halafu mnajidai ni hoja! Kuna hoja ipi hapo kama si upupu tu?
 
Wakati mwengine huwa nawashangaa sana na hoja za kijinga namna hii!

Hivi kuwe na influx ya wanafunzi kwa kuwa kuna elimu bure halafu usipate tatizo la uhaba wa madarasa?
Wewe ndo zero kabisa, wakati unaandaa mipango ya elimu bure hukuwaza kwamba kutakuwa na influx ya wanafunzi na hivyo ujiandae kwa miundombinu ya kuwa accomodate?
 
Wewe ndo zero kabisa, wakati unaandaa mipango ya elimu bure hukuwaza kwamba kutakuwa na influx ya wanafunzi na hivyo ujiandae kwa miundombinu ya kuwa accomodate?
Wewe usiwe punguani, kwanza kajengeni ofisi zenu.

Muulize Mbowe watoto zake wanasoma wapi na kwa pesa zipi?
 

Sisi tunaihoji serikali yetu hatulihoji kanisa!
Ni jukumu la serikali kuhakikisha kuna shule nzuri ili kila mtoto anayepaswa kusoma basi anasoma katika shule hizo!.

Huwezi kutapanya pesa za umma kwenye vitu visivyo na maana kama kununua wapinzani, kurudia chaguzi kwa gharama ya pesa za mlipa kodi BADALA ya kutumia pesa hizo kujenga shule ili watoto wasome!
 
Sema inaitwaje na iko wapi.

Kama ya kanisa tuwaulize pesa za kuendesha hizo shule wanapeleka wapi?

Vipi Mbowe watoto zake anasomesha wapi?

Ofisi mmeshajenga au bado mpo UFIPA?
 
Sema inaitwaje na uko wapi.

Mbowe anasomesha wapi?

Ofisi mmeshajenga au bado mpo UFIPA?

Mbowe anaingiaje kwenye suala la ubora wa elimu katika nchi hii?

Mimi nafikiri unafaa kupuuzwa tu kwa sababu unaongea mambo yasiyoendana na mada!

Faizafoxy apuuzwe anataka kuharibu mada!
 
Hawo wapo vizuri sana wanamadawati?. Wasome ili wawe na sifa za kuwa wanasiasa.
Yaani kuandika, kusoma na kuhesabi (k3).
 
Siku hizi mpaka mijini wanafunzi wanakaa chini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…