Jamani , nilivyosikia party ya diamond kiingilio dollar mia tano, wacha pressure inipande warumi Mimi , nikajua itakua party ya kufa mtu , nikategemea kuona party itakua level ya kistaa kama alivyo diamond mwenyewe, nikategemea kuona watu wazito wenye heshima zao .
Diamond Ana pesa Ila hanaga class, yani yupo yupo tu, Leo ndo nimeamini money can not buy classy , yani party ya dollar 500 mpaka akina juma lokole wapo? Diamond excuse me , next time ujipange, umejaza mijanamke ya uswazi hawana mbele wala nyuma, diamond should learn from other celebrities , aache mazoea na watu wa kipumbavu
Party ya kiswazi, uchafu mtu , wanawake wachafu, mpangilio wa nguo watu kama wanaenda kwenye msiba, in short haijanishtua bado