Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
Hatimae wanaume tayari wapo jiji la Tanga, shughuli zilizokua zinaendelea leo ilikua ni kufungua matawi ya wapenzi wa timu ya wananchi, nashndwa ku attach picha jamani.
Yanga daima mbele!
Mungu ibariki Yanga
Looh tumefata point 3 na goli 4 tanga wana yanga????
Yanga Oyeeee???
Yanga ndio vidume wa soka kwa Tanzania
Mkifungwa mtakuja na vilio hapa kwamba mmelogwa...tunawajua nyie.
Jana waliingia na mafuta ya Noah