Hizo jersey zimechakachuliwa.
ndala hawa japata hata jero
Ha ha ha wakimataifa
Yanga oyeeeeeeeeeeeee!!!!!
Hizo jersey zimechakachuliwa.
ndala hawa japata hata jero
Yanga inatisha kama ukoma, baada ya kuongoza kwa kuwa na mashabiki wengi Tanzania
sasa yawashika na warundi pia. cheki mwenyewe.
hii ni timu ya kimataifa bhaaana.
Timu ya Jangwani tu hiyooo!Yanga inatisha kama ukoma, baada ya kuongoza kwa kuwa na mashabiki wengi Tanzania
sasa yawashika na warundi pia. cheki mwenyewe.
hii ni timu ya kimataifa bhaaana.
Ndio maana sichoki kuipenda Yanga Timu ya wananchi. Kuichukia Yanga Sawa na kumchukia Mess unajipunguzia siku za kuishi bila sababu.