Hii ndio wizara inayomfaa mhe. Mwigulu Nchemba

Hii ndio wizara inayomfaa mhe. Mwigulu Nchemba

Status
Not open for further replies.

The Intelligent

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
2,459
Reaction score
824
Wakuu mnaonaje kuteuliwa kwa mhe. Mwigulu Nchemba kushika nafasi ya unaibu waziri wa fedha?

Licha ya mhe. Nchemba kuwa na taaluma inayohusiana na masuala ya fedha, lakini anaonekana ana experience kubwa na masuala ya usalama. hivyo kwa mimi binafsi napendekeza huyo mhe. apelekwe wizara ya mambo ya ndani, tena akaimu nafasi ya waziri kamili.

Nawasilisha.
 
Wakti mwingine fikiria usalama wa raia kwanza na baadae ndo usalama binafi au taasisi
 
Nchemba hafai kuwa waziri wala naibu. Sema anapewa vyeo vya fadhira tu.
 
Hii sie Nchemba mmwenyewe ametuma, mie nasema hawezi kuwa hata m/kiti wa kijiji makini!
 
Nchemba ana experience ya kuvuruga usalama wa taasisi na watu walio kinyume na serikali ya CCM,kumfanya waziri wa mambo ya ndani ni sawa sawa na kubinafsisha wizara...hata hii aliyopewa ni tusi kwa walipa kodi kwa maana rafu atakayocheza itawaumiza na wasiokuwa wanachama wa chama chochote cha siasa!
 
Mwigulu anaweza kuwa anafaa ila tatizo lake hana maadili.Kwa nchi kama china mwenye kosa kama hilo hunyongwa hadharani.
 
Omba kuonana na rais ufikishe ujumbe wako ili aangalie kama inafaa.
 
Mwigulu anaweza kuwa anafaa ila tatizo lake hana maadili.Kwa nchi kama china mwenye kosa kama hilo hunyongwa hadharani.
Kosa gani kwani tafsili ya maadili ipoje mwangalie slaa na mbowe mambo wanayofanya sijui utasema nini.
 
Kazi aliyokuwa kapewa ya kuisambaratisha CDM naona imekuwa ngumu kwake - kaamua kurudi kutumikia umma kwenye taaluma yake!!!

Sasa unaibu wa chama na unaibu wa serikali sijui itakuwaje!!
 
Nilitamani apewe wizara ya mambo ya ndani yaani hapo ndo angeangamia mapema
Ila huko alikopelekwa fedha ujue ndo anakwenda tengeneza mshiko kwa ajili ya uchaguzi ujao
 
Wakti mwingine fikiria usalama wa raia kwanza na baadae ndo usalama binafi au taasisi

muhuwaji huyo mkubwa,afai afai ata kuwa balozi wa mtaa huyo,hapo kikwete naye kaingia choo cha kike kumpa zezeta kama huyo uwaziri,watanzania tunazidi kuumizwa hapo.
 
Nchemba hafai kuwa waziri wala naibu. Sema anapewa vyeo vya fadhira tu.

Toa hoja hafai kwa nini siyo unakurupuka kuandika tu na amepewa kwa ajili ya fadhila ni fadhila gani izo!
 
Wakti mwingine fikiria usalama wa raia kwanza na baadae ndo usalama binafi au taasisi

Mkuu, kwani wizara niliyopendekeza iongozwe na mhe. nchemba ina-deal na nini kingine zaidi ya suala la usalama wa watu na mali zao?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom