Usangi Girls Secondary school ni shule nzuri ya wasichana ilioko kilimanjaro wilaya ya mwanga ni shule ya kanisa la kilutheri na inawalimu wa kutosha na maabara za kisasa na computer za kisasa.