Hii ndio Usangi girls secondary school

Hii ndio Usangi girls secondary school

tuziii

Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
15
Reaction score
19
Usangi Girls Secondary school ni shule nzuri ya wasichana ilioko kilimanjaro wilaya ya mwanga ni shule ya kanisa la kilutheri na inawalimu wa kutosha na maabara za kisasa na computer za kisasa.

Kwa mawasiliano 0745909375,
 
Usangi girls Ina bording?
 
Weka picha za hizo facilities zilizopigwa shuleni pamoja na picha za majengo ndo ka ushawishi katakuwepo
 
Back
Top Bottom