Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,907
Kwamba idadi yao haiakisi mali zao? Ila wamekamata mikoa mingi mkuuWasukuma wako bilabila acha uzushi.
Jifikirie mara mbili mbiliKabila langu hapo lipo lina nina uhakika ambao hawajatajwa hapo wengine maisha yao ni mazuri maradufu kuliko yangu mimi niliyetajwa! Hapo ndipo unapaswa kujiuliza, kama na mwenzangu kabila lako lipo hapo juu, sasa je wewe mwenyewe binafsi, au angalau wazazi wako, uchumi wenu unaakisi na ulichokiandika?!
Nime edit mkuu
Hatuna tatizo na hela zao.. as long as hatuli kwao na ada za watoto zetu hawatulipii waoNa sisi wapiga ngoma kwenye vigodoro??
Sioni cha kufikiria mara mbili mbili hapo kwa sababu makabila yote hayo uliyotaja, majority ya watu wake ni maskini wa kutupwa! Nitakuwa mjinga nionee ufahari utajiri wa mtu mwingine ambae si mzazi wangu na wala sina undugu nae wowoteJifikirie mara mbili mbili
3. Wakinga/Wabena
Kwanini asiwe wako au usiwe wewe? Mkuu hayo makabila kuna watu wenye nafuu zaidi ya maisha kuliko makabila mengineSioni cha kufikiria mara mbili mbili hapo kwa sababu makabila yote hayo uliyotaja, majority ya watu wake ni maskini wa kutupwa! Nitakuwa mjinga nionee ufahari utajiri wa mtu mwingine ambae si mzazi wangu na wala sina undugu nae wowote
Ni makabila yanayoshabihiana kwa kila kituNo 7 na 10 mbona umewagroup?