Hii ndio tofauti ya mizinga ya mwanaume na mwanamke

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,215
3,682
MWANAUME MWENZAKO AKIKUPIGA MZINGA UTASIKIA

1.mwanangu ehee unaweza nitoa buku nichukue msosi.

2.mwana ehee una jelo hapo tuagize kirobaa.

3.mwanangu. Ehee Leo hali mbaya nisaidie hata buku mbili nichukue msosi .

4.oyaa ehee una mia mbili hapo nichukue fegii kidogo.

MIZINGA YA MADEMU.

1.bby naomba hela kusuka nahitaji kama eflu 20.

2.my dear nadaiwa ya kodi

3.bby naomba hela ya umeme

Haya endelenii kutajaa
 
Hii mada sijaielewa. Me nilizani mizinga wanaombana wanaume kwa wanaume au mwanamke kwa mwanamke...kumbe mwanamke anamuomba mwanaume... ila mwanaume anamuomba mwanaume mwenzie
 
Hii mada sijaielewa. Me nilizani mizinga wanaombana wanaume kwa wanaume au mwanamke kwa mwanamke...kumbe mwanamke anamuomba mwanaume... ila mwanaume anamuomba mwanaume mwenzie
Kauzu 12 hiyo IPO aisee mwanaume kwa mwanaume ila mwanamke kwa mwanamke huu sio sanaa
 
Wanawake roho ngumu kutoa Mara ya mwisho kupewa na m'ke pesa n shule ya msingi tena tulikua wadogo tu alikua wa kishua bt in return homework zilinihusu sana yan .. Hapana
 
Back
Top Bottom