Hii ndio siri ya minyukano CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndio siri ya minyukano CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyabhingi, Apr 4, 2011.

 1. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  baada ya kuusoma na kuuelewa mswada wa marekebisho ya katiba nimegundua kwa nini ccm wanapigana sana vikumbo kwa ajili ya urais 2015,.sababu ni rahisi tu kuijua;kwa mswada huu ambao ni kama katiba itabaki vilevile kama ya zamani sababu wabunge wa ccm ni wengi bungeni hvyo itakuwa sheria,..ni dhahiri ccm watajitwalia tena nchi kimabavu kwa kutumia katiba mbovu..2015 vita ni kama haiepukiki...nchi inaelekea kubaya kwa uroho wa madaraka wa ccm..nanoa panga langu for self defense,..noa lako ujilinde...
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Siri ya minyukano ccm ni katiba????
   
 3. n

  ndutu Member

  #3
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe mwenyewe unahisi umeeleweka? Hujatuambia ni kwa vipi muswada wa kuanzisha mchakato wa katiba uwe ndiyo katiba yenyewe. Muswada unatengeneza roadmap na baada ya hapo ndipo rasimu itatengenezwa na wadau kupewa nafasi ya kuichangia kabla ya kupitishwa kwa referendum kama sheria itataka hivyo!
   
Loading...