nelly nely
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 665
- 229
Zamoyoni Mogera
Joseph kaniki
George Magere Masatu
Damian Kimti,Joseph Katuba[marehemu]
duu .. jose alishatangulia? RIP
Daj nakumbuka enzi hizi match zilikuwa zinachezewa uwanja wa Amani Zanzibar usiku
Mi labda niwape ushauri wa bure, wapenzi wa Simba.
Simba naowajua mie wale wa Seronera mikia yao imekaa kwa nyuma, na nyie Simba wa town mikia yenu imekaa kwa mbele.
Nawashauri m'badili jina la timu haraka.
Mi ni Mjangwani .
Dah maisha yanaenda na siku hazigandihalaf watangazaji wanavotia mzuka.....kina Abubakar Jongo,cjui wako wapi sasa,watu kimyaaaa pembeni ya RTD!!
Teh Juzi nilipita jangwani nkakuta wana Yanga wamejazana nkamuuliza drever kuna nini akanambia eti wamekunywa kahawa wanamngoja Manji aje alipe...teh njaaa kali jangwani...
Karibuni Msimbazi
halaf watangazaji wanavotia mzuka.....kina Abubakar Jongo,cjui wako wapi sasa,watu kimyaaaa pembeni ya RTD!!
Duh unakumbuka mechi kati ya Pamba ya Mwanza wana Kawekamo na Mukula Victorias ya Rwanda? Acha wewe! Wale watoto chini ya Kocha Pius Nyamko(RIP) ilikuwa balaa!Dominic Chilambo...