Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,506
Ililazimisha si kushawishHivi Chadema ndiyo wameishawishi serikali ya CCM suala la katiba?
Mkuu; kwa nini unasema hivi?Unaweza kututajia walau kumi (10) ambao wewe unakubali kwamba uwezo wao uko juu mno!CHADEMA hawana mshikamano wala ushirikiano kama taasisi ndani na njewana baadhi ya viongozi wachache sana ambao wana uwezo mkubwa katika kuzicheza siasa za Tanzania
mimi sijasema suala la katiba limeanzishwa na chadema; mimi nimesema CHADEMA wameishinikiza serikali kukubali kuanza mchakato.Wazo kama wazo lilikuwepo toka siku nyingi ila serikali ilikuwa inakwepa kutekeleza mpaka chadema walivyoweka presha kidogo.Hata swala la kuwepo kwa katiba halijaanziswa na CHADEMA kama unavyotaka kuaminisha watu hapa JF.
Kwa hili uko sawa kabisa.kwa hiyo udhaifu uliopo CCM unaipa nguvu chadema.Hii ni kweli.Siraha kuu ya CHADEMA ni KUWEPO kwa CCM na serikali yake madarakani kwa muda mrefu ambao umeweza kujenga LUNDO la maswali yasiyo na majibu
Hivi CHADEMA ndiyo wameishawishi serikali ya CCM suala la katiba?
Cc. RITZ..umeulza kama cdm ndo imeishnkza serkali kuandka katba jbu ni ndio kwanza katba mpya ilikuwa ktk ilani ya uchaguz ya cdm 2005na 2010 ccm wakapora hii ajenda kwa udhaifu wa serkal ye2 isngekubal bila force ya cdm
Hivi wewe si unajiita Kiongozi wa ACT? Lakini sijawahi kuona umeikosoa CCM ila unaisifia tu. kama nakosea nioneshe. ACT ni mpinzani wa nani? Chadema tu au? Kiukweli mimi huwa sielewi hasa wewe na Mwl. Kaijage maana ni kuiponda Chadema na kuisifia CCM mwanzo mwisho.Mkuu, unasema je kuhusu hatua ambayo katiba imefikia sasa?
Jambo la muhimu zaidi ni CHADEMA kujipambanua kwamba kiko kwa malsahi ya wana nchi kuhakikisha rasilimali za nchi hii kwanza nikwamanufaa ya wananchi, na kama ndiyo hivyo basi ili Chama hiki kiweze kufanikiwa kupambana na propaganda za chama tawala kinabidi kupata sapoti kubwa kutoka kwa wanachiwenye mapenzi mema na nchi hii. kwani iwe chama tawala au cha upinzani bila wananchi kukisapoti hakifiki popote.
Kwa jinsi ilivyo basi wananchi tunajukumu kubwa sana la kutoa sapoti kwa chama ili kiweze kufikia malengo