julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
well said mkuuAsikufanye ushindwe kutimiza malengo ya Mungu kukuleta hapa Duniani!
Namaanisha maamzi atakayotoa in your absent yawe furaha moyoni mwako!
Pia asikufanye ushindwe ktimiza MALENGO NA NDOTO zako binafsi kama BINADAMU mwenye utashi wako!
I hate it mtu anapotaka USACRIFISE NDOTO ZAKO NA MALENGO kwa ajili yake yeye, na atimize malengo yake!
This is why i dont want to marry!!!!!!!
Hasa kwa wale wanaokwambia acha kazi nitakupa kila kitu.
Aisee wa hivyo hafai.
Hasa kwa wale wanaokwambia acha kazi nitakupa kila kitu.
useme wewe mama kajipinda kunisomesha afu mtu anakwambia acha kazi ntapigana
Kama atasema acha kazi na nafsi yako ikafurahi haina shida ila akisema acha kazi wewe binafsi ukasononeka huyo sio! mfano yawezekana kazini unanyanyasika akikwambia acha huko na akakupa good alternative hiyo sio mbaya lakini acha ukamsaidie kufanikisha ndoto na malengo yake!! inatisha kwenye muundo wa ubongo wake!