engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
nitapeleka dawati moja tu,nikijenga darasa nitaleta ugomvi na wanasiasa wataanza kudhani nataka kugombea ubunge,na kufanya biashara zangu zisiendeNdio usaidie ujenzi wa madarasa hata mawili mkuu jamii iliopo ijue ulipita hapo..
Mmmh iko wapi hii Shule???
nakuunga mkojo! Watakuroga buree !nitapeleka dawati moja tu,nikijenga darasa nitaleta ugomvi na wanasiasa wataanza kudhani nataka kugombea ubunge,na kufanya biashara zangu zisiende
kuondoa hilo nitapeleka dawati tu,
Ndio usaidie ujenzi wa madarasa hata mawili mkuu jamii iliopo ijue ulipita hapo..
kwa mbali umepaki landcruiser!! ebu jenga shule wangu.......
Mtolera jenga shule mkuu.........
Nipo tayari kufanya hivyo,lakini kwanza unihakikishie usalama wangu na mbunge,na pia ujaribu kuongea na wazee wa pale kijijini kuwa najitolea sio kwamba ninapesa nyiiiingi kiasi kwamba wakaanza kusema oooooooooooooooooooh mpeni kichomi,oooooooooooooooooh mpotezeni,
HIYO GARI YA MBUNGE
mimi hata pua huwa si sogezi,nyie si mnasema mpo mbali na mazingira halisi
kwanza mtambue kuwa mpaka sasa shule ina walimu wawili tangu 1976,serikali inalijua hilo,sasa kama serikali imeshindwa mimi mtu mmoja tu na pesa zangu za mawazo hizi nitafika wapi?