Kabisa.... Nimemwambia hapo juu kwa watu wasiojua wanaweza ingia chaka.Weka CVT fluid ya kiwanda cha gari lako. Usije ukarogwa ukaweka ATF fluid. Kama gari ni nissan weka CVT fluid ya nissan na mara nyingi dipstick ya transmission imeandikwa aina ya fluid unayotakiwa kuweka.
Nimemwambia kule chini maana naona anachukulia hizi kitu ni kitu kimoja.Brother, naomba uelewe kitu kimoja.
1. ATF fluid ni tofauti na CVT fluid.
2. Sio lazima CVT fluid iwe pink, kwa mfano CVT fluid na hasa ya Nissan magari madogo (NS2) huwa ina rangi ya maji ya kunywa. Na ukiweka hiyo ATF ya pink utaua gearbox.
Chonde chonde, kwenye magari ya kisasa, dip stick ya transmission huwa inaelekeza aina ya CVT au ATF fluid ya kuweka.
Gari zenye mfumo wa CVT hazina gear. Ni gearless......Nitakupigia pia sim lakini shidayangu ni; 1. Gari yangu ni Subaru auto gea inang,ang,ania kwenye namba 2 tu. Nimebadili CVT lakini bado. Pia taa ya check engine inawaka na mafundi wameniambia ni Oxygen sensor imekufa. Nifanye nini kurekebisha matatizo hayo? Nipo Moshi
Kwa kifupi ni gearlessAutomatic hazinaga shift fork iwe ni convetional au CVT. Tena kama CVT speed inabadilika kwa kuapply pressure kwenye pulleys ambazo width yake ni variable.
Na ndio maana ukiendesha gari yenye CVT hutajua gia zinaingiaje. Shifting yake iko very smooth kuliko gearbox ya aina yoyote.
Huyu hajacheki sensor kama ipo sawa. Unaweza kuta sensor haifanyi kazi so akifunga thermostat inablock njia ya coolant.Kachekishe sensor ya temp inafanya kazi? na je communication ipo mpaka kwenye thermostat. Kawaida inablock maji kwenda kwenye engine mpaka yanapohitajika inaruhusu mzunguko.
CVT ina planentary gear set moja na clutch pack 2. How inaweza kuwa gearless?Kwa kifupi ni gearless
Mmmmmmhmn so how do u count gears on a CVT car bro, i believe umeshaendesha umesikia hata mngurumo wake unapokanya nao unapanda ukiachia unashuka but in between no any sign kuwa kuna gear power shifts?!CVT ina planentary gear set moja na clutch pack 2. How inaweza kuwa gearless?
Na ukiikuta CVT ya kisasa kama kama K313 inajuwa na first gear ambayo ni actual gear kabisa. kwa ajili ya power transfer kubwa.
Kwa msisitizo zaidiCVT ina planentary gear set moja na clutch pack 2. How inaweza kuwa gearless?
Na ukiikuta CVT ya kisasa kama kama K313 inajuwa na first gear ambayo ni actual gear kabisa. kwa ajili ya power transfer kubwa.
Mmmmmmhmn so how do u count gears on a CVT car bro, i believe umeshaendesha umesikia hata mngurumo wake unapokanya nao unapanda ukiachia unashuka but in between no any sign kuwa kuna gear power shifts?!
Nakumbuka kuna dada alipeleka lumion gereji akihisi ina matatizo sababu ya mlio wa gari ikitembea hasikii gear shifting, MUNGU alisaidia nilikuwa hiyo mitaa.
Dogo alikuwa ndio anataka kufungua kopo ya total ya oil ya kawaida, huku anamsikiliza dada akiwa anamwmabia juu ya gari kuwa bovu.....
Tafuta video yoyote Youtube ya CVT teardown uone kama hamna planentary gearset moja kwenye CVT.Kwa msisitizo zaidi View attachment 1776095
Mmmmmmhmn but my point ya kusema gearless nimemaanisha katika eneo la gear za kutembelea, mfano auto za kawaida hata ukiifungua utaona zile gear rings. Na zinahesabika kabisa ukiwa unaendesha. Ila CVT ni kama unaendesha boti mlio unapanda na kushuka, in between hautasikia chochote.well huwezi kucount gear kwenye gari ya CVT nakubali. Lakini umeshajiuliza reverse inapatikanaje?
Ndio maana nikasema CVT ina gearset moja na clutch pack 2.
Pia kwa hizo gari zenye CVT ya kisasa ambazo nimesema zina actual first gear. Hiyo first gear inavohama unaifeel kabisa ukiwa unaendesha.
But ukisema reverse gear hapo unakuwa umehamisha magoli katika mjadala wetu wa awali. Labda kama haukunipata vema nilimaanishaje.Tafuta video yoyote Youtube ya CVT teardown uone kama hamna planentary gearset moja kwenye CVT.
Okay basi kuna CVT zina actual first gear.But ukisema reverse gear hapo unakuwa umehamisha magoli katika mjadala wetu wa awali. Labda kama haukunipata vema nilimaanishaje.
Zinatumia mkanda kama zilivyokuwa TAPE za redio cassette πππKwa kifupi ni gearless
ππππππππ dogo angekaanga Gearbox. Hivi vitu vinahitaji uwe mdadisi sanaMmmmmmhmn so how do u count gears on a CVT car bro, i believe umeshaendesha umesikia hata mngurumo wake unapokanya nao unapanda ukiachia unashuka but in between no any sign kuwa kuna gear power shifts?!
Nakumbuka kuna dada alipeleka lumion gereji akihisi ina matatizo sababu ya mlio wa gari ikitembea hasikii gear shifting, MUNGU alisaidia nilikuwa hiyo mitaa.
Dogo alikuwa ndio anataka kufungua kopo ya total ya oil ya kawaida, huku anamsikiliza dada akiwa anamwmabia juu ya gari kuwa bovu.....
Safi sana1. Mkuu nmetumia ATF tu kama general term ila ninaelewa kwamba CVT transmission zinahitaji CVT fluid. Na hata kwenye uzi wangu kabla ya huu nilishawapa watu warning kwamba ni vizuri ukajua kwamba gearbox yako inahitaji fluid ya aina gani sababu hizi transmission fluid siyo kama engine oil. Ukimess up kidogo tu biashara lazima ikukate.
View attachment 1503224
2. Asilimia kubwa ya hizi Transmission fluids zimetengenezwa kwa rangi ya red/pink. Ingawa nakubaliana pia na unachosema kwamba zinaweza kuwa katika rangi nyingine. Lakini suala la kuchagua rangi unayotumia bado linabakia kwako ww mtumiaji. Mfano hii picha niliyoambatanisha hapa hawa jamaa wanazalisha CVT fluid ambazo zina rangi ya green na red.
View attachment 1503243