JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,383
- 9,835
Mkuu naweza Kupata Engine mount za 4s Engine, pamoja na ufundi kuzipachika.
Niko dar-mikochen
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hebu tushauri kuhusu service ya cvt gearbox maana mafund wanatukoroga Sana kwenye serviceMkuu naweza Kupata Engine mount za 4s Engine, pamoja na ufundi kuzipachika.
Niko dar-mikochen
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi nina mambo mengi nitasoma baadae
Sasa hebu tushaur kuhusu service ya cvt gearbox maana mafund wanatukoroga Sana kwenye service
Nenda shauri moyo utapata.Mkuu naweza Kupata Engine mount za 4s Engine, pamoja na ufundi kuzipachika.
Niko dar-mikochen
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka CVT fluid ya kiwanda cha gari lako. Usije ukarogwa ukaweka ATF fluid. Kama gari ni nissan weka CVT fluid ya nissan na mara nyingi dipstick ya transmission imeandikwa aina ya fluid unayotakiwa kuweka.Sasa hebu tushaur kuhusu service ya cvt gearbox maana mafund wanatukoroga Sana kwenye service
Brother, naomba uelewe kitu kimoja.Mfano kama Nissan ambao ndio watumiaji wakubwa wa CVT wanashauri kubadili ATF kila baada ya 25,000 miles ambazo ni sawa na around 48,000 km. Pia asilimia kubwa ya manufacturers ambao wanamefunga CVT transmission kwenye gari zao wanashauri kubadili ATF baada ya kati ya 30,000 miles mpaka 50,000 miles ambayo ni sawa na around 48,000km mpaka 80,000km.
Hata kwa gearbox za kawaida huwa ni 15,000 miles mpaka 30,000 miles ambayo ni around 24,000km mpaka 40,000km ingawa wenye magari mengi hubadili ATF around 10,000km tu...
Subaru yako ipo Kwenye mfumo huu?Nitakupigia pia sim lakini shidayangu ni; 1. Gari yangu ni Subaru auto gea inang,ang,ania kwenye namba 2 tu. Nimebadili CVT lakini bado. Pia taa ya check engine inawaka na mafundi wameniambia ni Oxygen sensor imekufa. Nifanye nini kurekebisha matatizo hayo? Nipo Moshi
Brother, naomba uelewe kitu kimoja.
1. ATF fluid ni tofauti na CVT fluid.
2. Sio lazima CVT fluid iwe pink, kwa mfano CVT fluid na hasa ya Nissan magari madogo (NS2) huwa ina rangi ya maji ya kunywa. Na ukiweka hiyo ATF ya pink utaua gearbox.
Chonde chonde, kwenye magari ya kisasa, dip stick ya transmission huwa inaelekeza aina ya CVT au ATF fluid ya kuweka.
1. Mkuu nmetumia ATF tu kama general term ila ninaelewa kwamba CVT transmission zinahitaji CVT fluid. Na hata kwenye uzi wangu kabla ya huu nilishawapa watu warning kwamba ni vizuri ukajua kwamba gearbox yako inahitaji fluid ya aina gani sababu hizi transmission fluid siyo kama engine oil. Ukimess up kidogo tu biashara lazima ikukate..
Exact.Nimekuelewa sana brother.
Tufikie mwafaka kwamba mwenye gari atizame CVT na ATF fluid inayotakiwa kwenye dipstick ya transimission kwenye gari lake.
Mkuu kwenye suala la cvt transmission usiwasikize wale mwafundi wetu waliorithishana ufundi.Sasa hebu tushaur kuhusu service ya cvt gearbox maana mafund wanatukoroga Sana kwenye service
Nitakupigia pia sim lakini shidayangu ni; 1. Gari yangu ni Subaru auto gea inang,ang,ania kwenye namba 2 tu. Nimebadili CVT lakini bado. Pia taa ya check engine inawaka na mafundi wameniambia ni Oxygen sensor imekufa. Nifanye nini kurekebisha matatizo hayo? Nipo Moshi
Ndiyo mkuu ipo mfumo huuSubaru yako ipo Kwenye mfumo huu?
View attachment 1503242