daniel merengo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 277
- 98
mara baada ya vyama vikubwa vya upinzani nchini nikimaanisha nccr,cuf na chadema kuonyesha nia kuungana na kuwa kitu kimoja baada ya mchakato wa katiba mpya kuanza imeonekana ni kitanzi kwa chama cha mafisadi ccm.
Kinachoonesha kwamba hii ndio pumzi ya ccm kuwa madarakani baada ya hivi vyama kuungana, leo kwenye vichwa vya magazeti ya jamboleo,habari leo na uhuru wamekuja na cd ya kitoto kweli eti wanasema gari la mbowe lakamatwa kenya likihusishwa na ugaidi. Hivi kweli haya magazeti wahalili wake sio mateja kweli?
Hiki kinachofanywa na haya magazeti ya chama cha mateja,mafisadi na wezi wa mali ya umma ni harakati za kutaka hivi vyama visiungane na visambaratike. Kwa kuanzisha vihoja vya kipumbavu eti gari la mbowe linahusika na ugaidi kenya.
Lakini ninajua hizi hila za kitoto haziwezi kukesha kama ilivyo ngoma ya watoto
ukawa kazeni buti kwa sababu hii ni saa ya ukombozi
ccm kuukandamiza upinzani ni sawa na kujichimbia kaburi. Ccm wajipime matendo yao ya kutumia polisi na jeshi kutisha wapinzani na wananchi kwaujumla wajue siku sio nyingi hao polisi na jeshi watakuwa chini ya utawala mpya wakati huo ccm imeng'olewa madarakani ccm kimekuwa cha upinzani. Wasizani kwamba wataondoka madarakani na polisi na wanajeshi. Hapa ndipo ccm italia kwa chozi la damu na kusaga meno.
UKAWA wawe makini, ccm na maadui wengine wanafanya kila mbinu kutaka kuwasambaratisha!
UKAWA wawe makini, ccm na maadui wengine wanafanya kila mbinu kutaka kuwasambaratisha!
ukawa watasambaratika kutokana na uroho wao wa madaraka. Msije kuisingizia ccm
afadhali anayeenda kula mombasa,je anayezunguka dunia nzima kutapanya hizo kodi utasemaje?unatumia kodi ya wananchi kwenda kula starehe mombasa,
afadhali anayeenda kula mombasa,je anayezunguka dunia nzima kutapanya hizo kodi utasemaje?
UKAWA watasambaratika kutokana na uroho wao wa madaraka. Msije kuisingizia CCM
UKAWA watasambaratika kutokana na uroho wao wa madaraka. Msije kuisingizia CCM