Hii ndio oic

PACHOTO

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
1,321
Reaction score
974
Waungwana hii ndio OIC, wanaopinga wana chuki binafsi ndio maana mwanaseminari MEMBE aliikubali ila akatishwa na maaskofu.
 

Attachments

angalia member state za africa zote kama zina amani kwenye nchi zao..nigeria-boko haram
 
OIC again? Kadhi business again? Sharia again?
 
The organisation attempts to be the collective voice of the Muslim world (Ummah) and attempts to safeguard the interests and ensure the progress and well-being of Muslims.

Well set goals for Muslims, but Tanzania is not yet an Islamic Country.
Hence, as a Country OIC is not needed, at least for now, however, Muslims can still join it as a religion, and benefit from it.
 

Kwani tanzania hakuna muslims? au
 
Mbona tumejiunga na jumuiya ya madola?
 
Mbona tumejiunga na jumuiya ya madola?

Tuliwahi kuwa chini ya Uingereza! Kwani Katiba ya Jumuiya ya Madola inasemaje? Najua ile ya OIC imetaja kwa uwazi kabisa kwamba ni kwa ajili ya kulinda "maslahi ya waislamu!"
 
Tuliwahi kuwa chini ya Uingereza! Kwani Katiba ya Jumuiya ya Madola inasemaje? Najua ile ya OIC imetaja kwa uwazi kabisa kwamba ni kwa ajili ya kulinda "maslahi ya waislamu!"
Mkuu wa jumuiya ya madola ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…