mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
mkuu sijui hivyo vi blog ulivyo google ndio vimekupa hizo takwimu. jaribu kutulia uusome vizuri uchumi wa zimbabwe kisha njoo tena u-comment. sio unaona thread hujui ata kinachozungumzwa unakimbilia ku google kwenye vi blogu unavyovyijua ww kisha unaanza kubishana.
naambatanisha link ya wikipedia hapa chini, hebu pitia uisome ndio uje kuandika tena.
Zimbabwean dollar - Wikipedia
you do realise kama mie ndio mtoa mada right? maana hapo ume quote comment yangu nlioku reply then una ongea contrary na mtoa mada ambae ni mimi tena huyo. "confused" hivi unasoma kweli kinachoandikwa mkuu?Ooh, sasa nimeelewa huyo mtoa mada naye kala maharage ya wapi sijui!!
hii pesa ilikua reenominated 3 times, huku 3rd denomination ikiwa na highest inflation rate ever recorded on the surface of planet earth. its value was falling each day. ndio maana baada ya kuona hawawezi tena ku control value ya pesa yao ndipo wakaamua ku adopt other nation's currency as a legal tender ikiwemo US dollar, SA rand, Indian rupee etc. mkuu soma ndio u-argue. usibishane tu bila ya kuwa na knowledge husika, utaonekana mjinga.
Soma hapo same link ulontumia boss get
Kalewa madaraka.Robert Mugabe yatosha sasa duh! Mola aingilie kati!
100 trillion Zimbabwean dollar =850 tshs duhHabari zenu wadau,
Wengi ambao hamkuwahi kuiona au kufahamu kama kuna nchi duniani ina noti ya trillioni 100, hii hapa imetoka kule kwa Mugabe (Zimbabwean dollar), ingekua ni US dollar hii noti basi ingekua kubwa kuliko jumla GDP yetu tangia tupate uhuru mpaka sasa hivi.
View attachment 504315
update 1:
naona wengi mnataka kujua thamani ya hii pesa. ok ipo hivi.
100 trillion zimbabwean dollar = 0.4 US dollar
na kwa hela ya kwetu ni sawa na tsh 850.
Update 2:
Zimbabwe haitumii tena Zimbabwean Dollar, wameamua ku adopt US dollar (USD) baada ya kuona haiwezi tena ku control hyper-inflation ya pesa yake (ZIM Dollar).
Hii ni ile ya chizi kuplay doctor msamehe bureyou do realise kama mie ndio mtoa mada right? maana hapo ume quote comment yangu nlioku reply then una ongea contrary na mtoa mada ambae ni mimi tena huyo. "confused" hivi unasoma kweli kinachoandikwa mkuu?
Nimesha note tayari,i have confused,tunaperuzi mitandao mbali mbali that is why it happens to be like that... hope you understood me.you do realise kama mie ndio mtoa mada right? maana hapo ume quote comment yangu nlioku reply then una ongea contrary na mtoa mada ambae ni mimi tena huyo. "confused" hivi unasoma kweli kinachoandikwa mkuu?
usijali mkuu, kawaida.Nimesha note tayari,i have confused,tunaperuzi mitandao mbali mbali that is why it happens to be like that... hope you understood me.
Hii ni zaidi! Sasa wana nchi wote I guess nao wamelewa kutawaliwa na hicho kibabu kinacho angamiza nchi, heri GHADAFI! Roho ya Ghadafi bado naililia walahi!Kalewa madaraka.
Hiyo ndiyo power ninayo itaka mimi maana Ghadafi alikuwa nayo! Na akacheza na dhahabu na mafuta! Ehh Mwenye Enzi Mungu tusaidie waafrica milele!Either way saivi wanakubalo almost all popular currency wakato USD ikiwa imepata shavu la kuplay all Goverment transactions
Cku nyingi nilikuwa cjui maana ya watu viboga now nimejua, huna hoja hapa tunaongea kwa hoja utapasua matako ukinifuata mm ni mafurikoHuyo mbumbumbu sidhani kama atakuelewa
Mzee uchumi kaukwamisha ila kagoma kukaa pembeni, ni presdaa hadi kwa jeneza, kweli huu ni msimamo mkali.