Hii ndio noti ya dollar trillioni 100

Hiyo ni zamani saivi Zimbabwe wana pesa yao na imeizidi shilingi ya Tanzania.
Walipunguza idadi ya sifuri kwenye pesa zao hela yao ya sasa ina thamani kubwa.
 
Hiyo ni zamani saivi Zimbabwe wana pesa yao na imeizidi shilingi ya Tanzania.
Walipunguza idadi ya sifuri kwenye pesa zao hela yao ya sasa ina thamani kubwa.
zimbabwe hawana pesa yao ya nchi, wanatumia US dollar . yaani pesa ya marekani.
 
Mzee uchumi kaukwamisha ila kagoma kukaa pembeni, ni presdaa hadi kwa jeneza, kweli huu ni msimamo mkali.
alafu sasa utaona kuna watu wanamsifia ety yy ni simba wa Africa. huku wananchi wake wanakufa njaa.
 
Ni pale jf inapoingiliwa na watu wenye mtindio wa ubongo, nini kimekupelekea kuniita chizi bila uhakika wa ukisemacho? Kuwa makini km ulisoma elimu ya watu wazima jifunze kuongea kwa factor utaeleweka kuliko hizo vapour zako
Ndio umejibu nn? Wewe umesema kwamba pesa ya Dollar haiwezi kuwa ya nchi nyingine zaidi ya Marekani, hivyo Zimbabwe kuwa na dollar according to you ni uwongo.Kwangu mimi huo ni uchizi, ndio maana nikapata mashaka kwamba unaweza kuwa chizi, ni mawazo yangu tu. Na nikakupa mfano wa Tz na Ke wote kutumia shs. By the way umeshawahi kusikia kuhuu Ugandan shs.? Au shs. ni ya tz pekee?

Sasa ulitakiwa ujibu hizo point kwa hoja, na sio nonsensical pointless sentimental lamentations..!!
 
Also 1Trillion sio 0.4$
Before you copy translate paste do research. Simple just Google



Next time akirudia mods naomba apigwe viboko vinne
 
Zimbabwe hawawezi kutengeneza dollar na kuitumia wao km wao kwakuwa cyo pesa yao, zimbabwe ina pesa yake..

Km ipo hyo basi ni marekani ndiyo anaweza kuwa na noti hyo maana ndiyo pesa yake, dollar iandikwe zimbabwe hlf hela ya zimbabwe iandikwaje?
mkuu upo serious!! Au umeamua kuanzisha league
 
Mzimbabwe wa kawaida anaweza kusoma na kutofautisha hizo namba??
 
Also 1Trillion sio 0.4$
Before you copy translate paste do research. Simple just Google



Next time akirudia mods naomba apigwe viboko vinne
1USD ~ 2284 TSH = 369 ZMD
mkuu sijui hivyo vi blog ulivyo google ndio vimekupa hizo takwimu. jaribu kutulia uusome vizuri uchumi wa zimbabwe kisha njoo tena u-comment. sio unaona thread hujui ata kinachozungumzwa unakimbilia ku google kwenye vi blogu unavyovyijua ww kisha unaanza kubishana.
naambatanisha link ya wikipedia hapa chini, hebu pitia uisome ndio uje kuandika tena.

Zimbabwean dollar - Wikipedia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…