Hii ndio naisikia leo kwa JK!!!

Hii ndio naisikia leo kwa JK!!!

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,701
Reaction score
6,936
Leo ndio nimesikia kwa Jk eti nywele za 'Albino' nazo washirikina na wasio na utu wanazihitaji, hivi kuna Albino aliyenyolewa nywele?! Kama ni nywele tu kwa nini kuwaua.

[video=youtube_share;tHV-_N3CDCQ]http://youtu.be/tHV-_N3CDCQ[/video]
 
Jk atabaki kiongozi imara siku zote kwenye uongozi wake.
 
Hatujawahi kuwa na kuwa na kiongozi mwenye mapenzi kwa watu wake kama jk anachojua yeye ni maendeleo tu.
 
hapo anatoa maelekezo mapya kwa watu wake kuwa hapa nywele ni deal,anataka waanze kuwakata vichwa
 
Give the guy his dues - ni genius na kafanya mengi kwenye kipindi chake na historia itamjaji
 
Back
Top Bottom