Chama cha mapinduzi kimekuwa kikitumia mbinu nyingi sana kuhakikisha wanashinda uchaguzi kiurahisi. Kule Kalenga ikumbukwe kuwa wananchi wengi waliweka shahada zao za kupigia kura kama dhamana ya kupewa pembejeo.
Ccm wakajitahidi kukomboa zile shahada kwa wanachama wake ambao walikuwa wana uhakika wa kuwapigia kura. Walifanikiwa kufanya hivyo kwa kuwatumia mabalozi wa nyumba kumi na wenyeviti wa vijiji. Hiyo inadhihirika hata pale wakiwa wanahitimisha kampeni zao kwani iliwaelekeza mabalozi na wenyeviti kuhakikisha wana wahamasisha watu kutoka kwa wingi kwenda kwenye vituo vya kura.
Hiyo iliambatana na tsh 5000/= kwa mtu yeyote ambaye wana uhakika kuwawa alikuwa ana shahada ya kupigia kura. Ccm ni chama ambacho kina mbinu nyingi sana hivyo wapinzani wawe makini kwa chaguzi zinazokuja.