MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
Siku hizi madawa ya kulevya yanaanza kupotea ila mbadala wake hafai.
Siku hizi pombe kali za kwenye vipakiti maarufu kama viroba vimeshika na vinashika kasi kwa watumiaji hasa vijana na wanafunzi wa sekondari na vyuo. Wenyewe wanaviita vi Facebook
Yaani kila kona kila njia kila mahala hivi vinywaji vipo mbaya zaidi vinatumika muda wowote iwe asubuhi mchana au usiku wao wanakunywa tu kama huamini asubuhi pita pale karioakoo (kwa wakazi wa Dar) mtaa wa msimbazi kati ya kituo cha magari ya ubungo na tandale utaona watu saa kumi na mbili alfajiri anakunywa kiroba na kahawa.
Watu wanalewa tangu asubuhi huyu atazalisha saa ngapi ??
Halafu kuna bidhaa fake nazo zipo humohumo wanatumia tu
Yaani bia inaanza kuuzwa saa kumi ila kiroba muda wowote serikali hapa mmezuia nini ?? watu wasilewe au wasinywe bia ??
Serikali ipige marufuku utengenezwaji na uuzwaji holela wa hizi bidhaa za viroba