Hii ndio massage Iliyomchekesha waifu leo mpaka nimesikia raha!

Kama huwezi kumchekesha waifiyo ukiwa naye laivu ndo unadhani utamchekesha kwa hizi kopi-pesti meseji.
 
Lol, mimi nimecheka sana. That was romantic. Ufanye hivyo mara nyingi, usiwasikilize wanaokatisha tamaa. Kuna walionunia wenza wao mwezi sasa! Leo lazma ukule bonus ya maana.
 
nna wasiwasi hapa ndo palimvunja mbavu hasa
 

nakubaliana na wewe
 
Creativity za hivi zinaweza kuchelewesha maendeleo si tu ya familia husika bali ya taifa pia!
 
Sasa!!! kwan babu ni kijana wewe, si ndio alitupikia kijohoo mtoto!!
Daughter;4700647]Unakuwa na hekima[/QUOTE]
 
si umeona eee
00676]Na wanaomshushua ni wanaume wenzake, jamani.....![/QUOTE]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…