Hii ndio inaitwa kata K

Hii ndio inaitwa kata K

VAN HEIST

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
1,434
Reaction score
617
1416195652341.jpg
 
Nyie subirini 2, mwishoe wote tezdume, nnampango wa kufungua bg hosp ya hiyo kitu msata, ntapaje bingo?
 
Huu mtindo ulianzia jela za marekani, ukivaa hivi ilikuwa ni code ya kuonyesha kwamba wewe ni punga, kwa hiyo wafungwa wengine walikuwa wanajua bila kuuliza, na style ikaletwa mtaani na magansta waliotoka jela.
Kwa hiyo huu mtindo ni wa mashoga, kuweni makini vijana.


 
Back
Top Bottom