MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Eeeh, Uchaguzi mdogo wa marudio kiti cha mbunge huko Dimani na kata 20 zote za udiwani Tanzania bara. zimeenda CCM.
Ndivyo CCM walivyotaja na ndio furaha yao.Yaani wanataka upinzani ufe kabisaaaa.
Hali ikiwa hivi kufikia 2020 hakuna cha ubunge, urasi wala udiwani!CCM watabeba zote.Sio ndio wenye dola bhana.
Wakurugenzi wote wa halmashauri nchini ni makada watiifu sana wa CCM na wanahudhuria vikao vya chama. Wengi wao walishindwa kura za maoni 2015.
Kazi iliypo sasa ni kuidai haki ya kikatiba ya kufanya mikutano ya kisiasa na Uwepo wa tume huru ya Uchaguzi kabla ya 2020, hakuna aliye juu ya katiba.
Mwisho CUF msimchekee tena Lipumba anakiua Chama, mtoeni kabisa ndani ya chama na iwe marufuku kulitamka jina la Chama.