Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,571
- 5,484
Dining hall mkuuPatakuwa dining hall au madarasa ya T, daaah naikumbuka sana DIT aisee
Ulisoma hapa?Patakuwa dining hall au madarasa ya T, daaah naikumbuka sana DIT aisee
Co hvyoWe first year nini mbona hii kitu kawaida sana DIT unakuta mnawekwa DH mtu 3 kwenyemeza moja kati facult nyingine pembeni facult nyingine
Haaàaaaaaaaaa ! Tumepiga soil mechanics Lila MTU maswali take yani. Dah rectrure katoo Jr, anatuuwaaLeo kulikua na test watu tumejiandaa fresh kuingia kwenye paper ndani ya chumba cha mtihani kulikua na msongamano wa wanafunzi aisee yani ilionekana kama vile itakua kitonga kupata majibu lakini mambo yalikua tofauti yaani unakuta mtu aliyekaa mbele yako au pembeni yako mnafanya test ya module moja lakini maswali tofauti hapo sasa.baada ya pepa kumbe watu tukagundua tumefanya test tatu tofauti lakini kila mtu kafanya moja..[emoji23] [emoji23]
Dah tumepiga soil mechanics Leo Lila MTU maswali yakee hatarii sanaaLeo kulikua na test watu tumejiandaa fresh kuingia kwenye paper ndani ya chumba cha mtihani kulikua na msongamano wa wanafunzi aisee yani ilionekana kama vile itakua kitonga kupata majibu lakini mambo yalikua tofauti yaani unakuta mtu aliyekaa mbele yako au pembeni yako mnafanya test ya module moja lakini maswali tofauti hapo sasa.baada ya pepa kumbe watu tukagundua tumefanya test tatu tofauti lakini kila mtu kafanya moja..[emoji23] [emoji23]
Taaarifa kama hizi ilibidi mtumiane kwenye ma group yenu ya watsap ya class, kutyletea huku JF ni ulimbukeniLeo kulikua na test watu tumejiandaa fresh kuingia kwenye paper ndani ya chumba cha mtihani kulikua na msongamano wa wanafunzi aisee yani ilionekana kama vile itakua kitonga kupata majibu lakini mambo yalikua tofauti yaani unakuta mtu aliyekaa mbele yako au pembeni yako mnafanya test ya module moja lakini maswali tofauti hapo sasa.baada ya pepa kumbe watu tukagundua tumefanya test tatu tofauti lakini kila mtu kafanya moja..[emoji23] [emoji23]
Haaaa sijaamn gani kasimamia Dh nzima bila msaidiziiKato hareee
soil hafundishi Dr Singo?Haaàaaaaaaaaa ! Tumepiga soil mechanics Lila MTU maswali take yani. Dah rectrure katoo Jr, anatuuwaa
Hapana dingo anafundisha first year, Odsoil hafundishi Dr Singo?