Hii ndio dawa yao

Hao viumbe ni hatari sana mbinu za kujikinga nao ni kupiga mabomu ya 'machozi' mfululizo kama ukiweza.
 
Hawa sijui hata wanajuaje kama umejificha sehemu fulani na ninavosikia usiku hawaoni
 
Duuhhhh.......mkuu wewe ni m'bunifu wa mbinu ila asa ambao hawatokwenda msibani wakatuma tu rambirambi itakuaje!!!!!!!

Unaua wengine wawili akiwemo mbunge wao, wote wataenda bila excuse!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…