Hii Ndio Bolfo Original

Hahaha Ndallo kwanza nilidhani magic, kumbe katuwa jua ya ice, hii ya mwaka mkuu
 
Last edited by a moderator:
daa, huo ni urembo au barafu? nahis ni urembo maana barafu tusingeona maji yanacheza
 
hahahahahaha
umenikumbusha kuna jamaa nilimuwekea pasi ya baridi mgongoni, japo basi ilikuwa ni ya baridi, jamaa aliruka sana na kujua nimemuunguza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…