Mbeya mkuu wa wilaya analazimisha watu wachangie 10,000 ujenzi wa shule, Diwani kagoma kasema wachange only 3,000
DC anadai serikali haina pesa sasa hizi ni nini?
Wana JF, Issue ni kwamba hizo hela zinalipwa japo robo tatu lakin zinaingia mifukon mwa wajanja wachache tu halafu mnaambiwa ni msamaa wa kodi.!!. Fikiria nchi maskin kama Tz inayotegemea BAKURI inasamehe kodi. Duh hata mungu hapendi.