Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,706
- 149,939
Sometimes huwa napata shida sana kuelewa uzalendo wa watanzania na kwakweli huwa nabaki na mswali yasiyo na majibu.
Kuna watu wanaweza kuja na hoja ambazo ukizitama unashindwa kuwaelewa kabisa ila utachokigundua ni kuwa watu wa aina hiyo hawana uchungu na nchi bali wengi wao ni wabinafsi na wanamapenzi na watu binafsi au vyama vyao kuliko hata Taifa lao.
Kuna wanaoponzwa na njaa zao;kuna wanaoponzwa na vijisenti wanavyolipwa ili kusaliti watanzania wenzao kwa kugeuka watetezi wa movu ya wakubwa;kuna wanaosumbuliwa na ukabila; kuna wanosumbuliwa na ujingan na kuna wanaoponzwa na chuki binafsi tu,n.k.
Binafsi sina shida sana na mambo wanayoyaandika watu hawa humu mtandaoni kwasababu huu ndio uhuru wa maoni ambao wote tunaulila.
Kinachonikera na kunikatisha tamaa ni kuona mambo ambayo ni very serious ama yanaondolewa mitandaoni au kutotaandikwa na vyombo vya habari huku mambo yasiyo na tija yakipewa nafasi.
Kwa mfano,dada yetu mmoja amejaribu kuanika taarifa ambayo ameitoa kwene mtandao wa kampuni ya Boeing kuhusu ununuzi na usajii wa aina fulani za ndege za kampuni hiyo,taarifa ambayo tunaamini inahitaji kutolewa majibu na wahusika ila cha ajabu taarifa za namna hiyo zinafanyiwa figisufigisu ili mradi tu kufunika kombe mwanaharamu apite huku habari za hovyo hovyo na zisizo na mashiko zilizojaa chuki ndio zinapewa nafasi!
Kwakweli hii nchi ni ngumu sana!