hao jamaa net yao iko slow kama ttcl na airtel hakuna unafuuKwanini mkuu
Ukikaa location nzuri yenye H+ yaani 3G, chukua tigo, halotel, ttcl, airtel wote hawamfikii.Mkuu voda wko vzuri kwa net cjaona anayemfuata
Halotel ni slow mo kweli. Hapa Dar wana 4G ila ni kama 2G ya vodacom.Njoo halotel full kujiachia@speed ya slow motion full mzukaa
Ni kweli 4G ya halotel ni 2G ya mitandao mingine.maana kuna siku nikadhani labda router yangu ni mbovu.bei ya vifurushi iko chini pia ila mwendo ni pole pole mno .sijajua wametutapeli kwa kutuuzia line za 2G na kutuambia ni 4GHalotel ni slow mo kweli. Hapa Dar wana 4G ila ni kama 2G ya vodacom.
Yaani leo nimefungua ile Menu yao nijiunge bando la buku nimekuta eti Mb 350 ndio kwa buku Hadi nikajua nimekosea ngoja nirudie tena duh kumbe ndy ilivyokuwa.
Yaani jana2 nimejiunga kifurushi cha Kanda ya ziwa kwa buku ni Mb GB 1 dakika 100 all network sms 100 Siku 2. Duh yaani kesho naenda kutafuta line ya halotel mbwa nyie voda nawahama.