MWANAMASOKO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 213
- 94
Habari zenu wana jamvi ,naomba kujuzwa kuwa hii namba(0901656564) ni ya kampuni gani kwa maana nilikuta missed call katika simu yangu juzi kwani nilituma maombi ya kazi sehemu nyingi. Asanteni