The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Hii mvua inayonyesha Dar sasa imezidi. Hizi ni sifa za kijinga.
Huko vijijini hainyeshi inatuletea shida hapa mjini.
Ikanyeshe huko vijijini watu waivishe mazao. Hapa mjini mvua tumeichoka.
Ni kweli humu kila mtu ana gari, anamiliki mjengo, ana degree, ana kazi nzuri na pia ana mke mzuri, anapiga goli 5 na kila kitu kiko poa isipokua mimi tu.Acha inyesheee.... Tena inyeshe haswaaa... Wale wote wanaolalamikia mvua nunueni magari ya kutembelea... (Nijuavyo Mimi jf kila mtu ana kigari chake.... Na kila mtu anamiliki ka mjengo)[emoji16][emoji16]
Mkuu kuna mambo mengi ya kufanya nje ya kupiga mashine. Ntashinda siku nzima napiga tu mtu miti alafu natakula nini, si nitafia kifuani kwake?.Cha muhimu tafuta goma ujipozee
Kila kitu kiwe na kiasi. Kama kitu kinaleta maafa na madhara makubwa hicho sio kitu kizuri. Hata biblia inasema kila kitu kiwe na kiasi.Binadamu Hana shkrani
Ikiwepo jua kali lawama
Ikiwepo mvua lawama
Sasa ngojeni siku mletewe kimbunga tsunami mchezo nalo
Ova
Mvua sio rehema kwa wanadamu peke yake.Hii mvua inayonyesha Dar sasa imezidi. Hizi ni sifa za kijinga.
Huko vijijini hainyeshi inatuletea shida hapa mjini.
Huwezi kutoka kwena mahala muda wote ni mvua tu.
Watu tumekosa hata muda wa kwenda kujipanga barabarani kuupokea mwili wa mzee wetu Mengi.
Ikanyeshe huko vijijini watu waivishe mazao. Hapa mjini mvua tumeichoka.
Kama hiyo mvua inaua watu na kuharibu miundombinu, ina maana mungu anaileta iue watu ili viumbe wengine wapone au waishi?Mvua sio rehema kwa wanadamu peke yake.
Mola huleta mvua kwa ajili ya viumbe wengine waweze kuishi na sio binadamu peke yake.
Mola anasema kwenye qur an tukufu "wajaalna lmaaa kull'la shay'in hayiih" (tukajaalia maji kuwa sababu ya uhai wa kila kiumbe) uwepo wa mvua(maji) ni sababu wa uhai wa viumbe wengiii wa allah binadamu akiwepo.
Sasa ndugu yangu wewe umeangalia kwenye angle moja tu ya mwanadamu na wakati mola ni mlezi na rehma kwa viumbe wengi sana na wote ulimwenguni.
Wacha inyeshe tu huwenda kwa hapo dar sio kwa ajili ya sisi wanadamu bali ni kwa viumbe wengine ambavyo mola ni mlezi wao.